Decolonial Subversions
Acoustic

Kiswahili as a Language of Peace in an Environmentally friendly Approach

Abstract

This is a call for peace with oneself, others and nature. It seeks to lead people to take responsibilities vis-à-vis what they do around them, be it other people or nature. It stems from a poem that was sang before a community of Congolese, Burundian, Rwandan refugees as well as local Tanzanians in Nyarugusu Refugee Settlement in Tanzania, titled in Kiswahili: Mazingira ni Maisha (meaning nature is life). The context is used to appeal for peace in the world. The aim is to address cross-cultural understanding using Kiswahili as a language of peace. A particularity of this speech is its twofold focus. It is firstly, to use a language of Africa par excellence (Kiswahili) in building inter-sectorial peace among the people and the nations – bearing in mind that alternatives means of communication are possible solutions, and secondly, it analyses language policy issues. Any language has the ability to unite the people and help solve communicational problems. It advocates for tolerance, equality, acceptance, care for people and the environment. Using statement by eloquent orators such as Chinua Achebe and Chimamanda Adichie, It is hoped that this talk will spark a dialogue about linguistic human rights and how Kiswahili could play a positive role in Africa.

Keywords: Kiswahili, Peace, environment, Chimamanda Adichie, Common language, Kawasaki

Kiswahili kama Lugha ya Amani ya Kutunza Mazingira

Muhtasari

Hotuba hii inataka kuleta amani moyoni mwako, kati ya mtu na wengine na kati ya mtu na mazingira. Ina wataka watu wawe na jihusisha na yale hawanabudi kuyafanya, ikiwa inahusu watu ao mazingira. Chanzo ni poemu ambayo imetamkwa mbele ya jamii ya wakongomani, warundi, wanyarwanda wakimbizi na wazalendo watanzania waliokuwa kambini Nyarugusu, kichwa cha poemu ni: Mazingira ni Maisha (meaning nature is life). Imesemwa ili kuita amani duniani. Kiini ni ku sababisha uelewano wa ki utamaduni kwa kutumia lugha ya kIswahili kuwa lugha ya amani. Ina lengo mbili inayoitofautisha: kwanza, kutumia Kiswahili lugha nzuri kabisa ya kujenga amani kati watu na mataifa – tukijuwa kuna njia zingine kilugha za kuleta suluisho kimawasiliano, pia inazungumzia mambo ya siasa ya lugha nchini. Kila lugha inaweza kuunganisha watu na kusaidia kutatuwa matatizo ya mawasiliano. Inawasii watu kuchukuliana, kuwa na umoja, kuitikana, kutunzana na kutunza mazingira. Kwa misemo ya watu waliondelea kama Chinua Achebe na Chimamanda Adichie, tunatumaini hotuba hii itaanzisha majadiliano kuhusu haki ya kilugha na vipi Kiswahili kinaweza kufanya kazi muhimu Africa.

Neno kuu: Kiswahili, Amani, Mazingira, Chimamanda Adichie, lugha moja duniani, kawas